1 |
Katibu mkuu, (or-muub), dkt. laurian ndumbaro akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za sekretarieti ya ajira, mazizini-zanzibar. |
2 |
Katibu mkuu, (or-muub), dkt. laurian ndumbaro akiingia katika ofisi za sekretarieti ya ajira eneo la mazizini-zanzibar, nyuma yake ni katibu wa ofisi hiyo bw. xavier daudi na mkurugenzi wa mipango na rasilimaliwatu (or-uuub) bw khamis juma. |
3 |
Baadhi ya watumis*** wa sekretarieti ya ajira katika utumis*** wa umma, wakiwa nje ya ofisi hiyo eneo la mazizini-zanzibar. |
4 |
Mkurugenzi wa ıdara ya mipango ya rasilimaliwatu (or-uuub- zanzibar bw. khamis juma akitoa ufafanuzi kwa makatibu wakuu wakati wa makabidhiano ya ofisi za sekretarieti ya ajira, mazizini- zanzibar. |
5 |
Katibu mkuu, (or-muub), dkt. laurian ndumbaro akiongea wakati wa makabidhiano ya ofisi za sekretarieti ya ajira mazizini- zanzibar, kushoto ni katibu mkuu, (or-uuub), bw. yakout ha***an yakout na naibu katibu (or-uuub). |
6 |
Katibu wa sekretarieti ya ajira katika utumis*** wa umma, bw. xavier daudi akiwasilisha taarifa yake wakati wa makabidhiano ya ofisi za sekretarieti ya ajira, mazizini- zanzibar |
7 |
Katibu mkuu, (or-muub), dkt. laurian ndumbaro akiwa katibu mkuu, (or-uuub), bw. yakout ha***an yakout pamoja na viongozi na watendaji wengine wakati wa makabidhiano ya ofisi za sekretarieti ya ajira, mazizini-zanzibar |
8 |
Katibu mkuu, (or-uuub), bw. yakout ha***an yakout akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za sekretarieti ya ajira, mazizini-zanzibar |
9 |
Katibu wa sekretarieti ya ajira bw. xavier daudi akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa usaili (hawapo pichani) kuhusu masuala ya kuzingatia wakati wa usimamizi wa usaili mwingine ni katibu msaidizi ıdara ya ajira bi. khadija ısihaka. |
10 |
Naibu katibu ıdara ya udhibiti na ubora katika sekretarieti ya ajira bw. humphrey mniachi akitoa ufafanuzi kwa wasimamizi wa usaili (hawapo pichani) kuhusu usimamizi wa usaili mwingine ni katibu msaidizi ıdara ya ajira bi. khadija ısihaka. |
11 |
Wasailiwa wakiendelea na usaili wa kuandika kwa ajili ya kujaza nafasi mbalimbali za kazi zilizotangazwa na kibaha education centre kupitia sekretarieti ya ajira. |
12 |
Baadhi ya wasailiwa wakiendelea na usaili wa kuandika kwa ajili ya kujaza nafasi mbalimbali za kazi zilizotangazwa na kibaha education centre kupitia sekretarieti ya ajira. |
13 |
Maafisa tawala wa sekretarieti ya ajira katika utumis*** wa umma kushoto ni bw. ıssa paul na bw. mwita werema wakiandaa rasimu ya tangazo la nafasi wazi za kazi. |
14 |
Afisa utumis*** mwandamizi katika sekretarieti ya ajira bi. judith usangira akipata ufafanuzi wa masuala ya watumis*** kutoka kwa afisa utumis*** bw. ımani kasagara. |
15 |
Afisa rasilimaliwatu mkuu bw. ınnocent bomani wa sekretarieti ya ajira akipitia nyaraka aliyopelekewa na dereva mwandamizi bw. christopher ngazi aliyesimama kabla ya kuipitisha. |
16 |
Watumis*** wa ıdara ya utawala katika sekretarieti ya ajira wakipitia moja orodha ya vifaa vinavyohitajika kununuliwa kulia ni bi. neema kivugo, bw. malatika mbaga na mlagwa nyasebwa. |
17 |
Katibu wa sekretarieti ya ajira katika utumis*** wa umma, bw. xavier daudi akiongoza jopo la usaili wa nafasi ya kazi ngazi ya menejimenti kwa ajili ya ucsaf ambao umefanyika tagla jijini dar es salaam kwa njia ya "video conference". |
18 |
Mmoja wa wasailiwa wa nafasi ya kazi ngazi ya menejimenti kwa ajili ya ucsaf akifanya usaili kwa njia ya "video conference" ambao umefanyika katika ofisi za tagla jijini dar es salaam. |
19 |
Wajumbe wa jopo la usaili wa ucsaf wakimsikiliza mmoja wa wasailiwa wa nafasi ya kazi ya menejimenti hayupo pichani, ambapo usaili huo umefanyika katika ofisi za tagla kwa njia ya ''video conference'' |
20 |
Mwenyekiti wa bodi ya sekretarieti ya ajira katika utumis*** wa umma bi rose lugembe akisisitiza jambo kwa wajumbe katika moja ya vikao vya bodi hiyo. |
21 |
Katibu wa wa sekretarieti ya ajira katika utumis*** wa umma, bw. xavier daudi akiongea katika moja ya vikao vya menejimenti na kushoto kwake ni afisa utumis*** mkuu katika ofisi hiyo bw. ınnocent bomani akinukuu dondoo za kikao. |
22 |
Naibu katibu ıdara ya ajira katika sekretarieti ya ajira bw. lucas mrumapili akiwasilisha taarifa ya usaili uliopita mbele ya wajumbe hawako pichani, kushoto ni katibu msaidizi bi khadija ısihaka na mkurugenzi wa utawala na rasilimali watu bi. victoria fovo. |
23 |
Katibu wa sekretarieti ya ajira katika utumis*** wa umma, bw. xavier daudi akiwa na mkurugenzi wa utawala na rasilimaliwatu, bi victoria fovo wakipitia moja ya nyaraka kabla ya kuanza kwa kikao cha menejimenti. |
24 |
Baadhi ya watendaji wa sekretarieti ya ajira wakiwa katika kikao cha wajumbe wa sekretarieti hio wakati wa kupitia matokeo ya usaili, kulia ni bi victoria fovo, bw. lucas mrumapili, bi. khadija ısihaka na bw. malatika mbaga |
25 |
Baadhi ya watumis*** wa sekretarieti ya ajira wakifuatilia mada ya namna bora ya matumizi ya vifaa vya tehama wakati wa semina ya mafunzo kazini iliyokuwa ikitolewa na afisa tehama wa taasisi hiyo bw. hemed mkomwa hayupo pichani. |
26 |
Visitors |
27 |
Useful links |
28 |
Contacts |
29 |
Office location |